IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Msafara wa Rais yeyote yule duniani uwa wa hati za diplomat za kusafiria,pia inasemekana hakuna ukaguzi wowote unaofanyika, hawakaguliwa airport hata chembe.
Uwa najiuliza km ni kweli vp katika msaafara wake ikitokea MTU amebeba madawa ya kulevya inakuwaje?
Pia ni sahihi msafara haukaguliwi?
Uwa najiuliza km ni kweli vp katika msaafara wake ikitokea MTU amebeba madawa ya kulevya inakuwaje?
Pia ni sahihi msafara haukaguliwi?