Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Am too Handsome! Am too beautiful! Am too rich! Am too educated! Am too talented! Am too sexy! Am too classic! I have 1.1k likes on Facebook I have 500 followers on Instagram I have too much...
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Serengeti. Mkazi wa kijiji cha Bukore kata ya Kyambahi wilaya ya Serengeti, Motondi Shakanyi (26) ameuawa na tembo wakati wakisaidiana na ndugu zake kuwafukuza wanyama pori hao shambani. Mkuu wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nimefika dukani nikakuta baraua inanitaka niende ofisi za mtendaji kwenda kutoa maelezo kwa nn napanga bidhaa nje ya duka, nimeshangaa kidogo kwani Toka awamu hi imeanza sijawahi ona usumbu...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Zamani kulikuwa na kikatuni (nimesahau jina sijui Mzee Kishoka au Kimboka?) cha jamaa ambaye husahau sahau hata kina lake! Wengi wakikifurahia ila kikatuni kile kilikuwa kinatuma ujumbe kwa jamii...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Chama cha mawakala wa forodha( TAFFA) Mpakani Namanga,wilayani Longido, wamemwomba Waziri mkuu, Kassimu Majaliwa kuingilia kati mgogoro kati yao na wakala wa vipimo (WMA) unaowalazimisha kulipia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KANUNI ZA USIMAMIZI WA MAZINGIRA ZA KUPIGA MARUFUKU MIFUKO YA PLASTIKI ZA MWAKA 2019 (TOLEO LA KISWAHILI)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Dar es salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kueleza nia ya kurejesha utaratibu wa kufanya biashara kwa saa 24, mameneja wa baa mbalimbali katika jiji hilo...
4 Reactions
69 Replies
11K Views
Kuna kipindi "This week in perspective" - kinarushwa na TBC1. Kipindi hiki nakipenda kwani hua na mijadala mizuri ya kuelimisha jamii. Ila kwa upande wangu naona yanayojadiliwa hayawafikii watu...
2 Reactions
126 Replies
13K Views
Hua najiuliza tabu zote zile chuoni Toka mwaka wa Kwanza hadi wa mwisho naishia hivi.? Nilikua na ndoto nikihitimu chuo niwe msaada kwa wazazi walionisomesha kwa shida hivi Sasa Sina hata uwezo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Taarifa kutoka DR Congo zinasema Rais mstaafu wa DR Congo Joseph Kabila, atagombea nafasi ya urais wa klabu ya AS Vita katika uchaguzi mkuu utakayofanyika mwezi ujao. Atapambana na rais wa sasa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu ukiwaza je mazuri uliyofanya asilimia ngapi na mabaya uliyofanya asilimia ngapi?,Mabaya uliyofanya yana asilimia kubwa? Au mazuri uliyofanya yana Asilimia kubwa/??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna mgeni kwenye StarTv muda huu amelewa chakari. Anacho ongea hata hakieleweki. Nawashauri watu wa media muwe makini ktk kuwaalika wageni. Hii ni aibu sana... UPDATES: At 2219 Hours Hivi sasa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wanajf.. Ni wiki ya pili sasa nahangaika kutafuta soft copy ya kitabu hiki cha MIKONO YENYE VIPAWA, ambacho ni tafsirj ya kitabu cha kiingereza cha GIFTED HANDS. NITAFURAHI SANA KUMIPATA...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nataka kwenda kwenye huo mradi wa umeme ili kuangalia fursa za kibiashara lakini kabla sijaenda naomba kujua haya yafuatayo 1. Inaruhusiwa kwenda kutembelea huko?, 2. Je kuna usafiri wowote wa...
4 Reactions
88 Replies
8K Views
Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa...
36 Reactions
139 Replies
11K Views
Habari wanajamii Kwa wakati huu nchi yetu inapitiaa changamoto kubwa ya tatizo la ajira kwa wasomi wa kitanzania ambao wanaongezeka kwa kasi kubwa, kila mwaka graduates wanaongezeka huku nafasi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nikiwa natokea Tanga leo asubuhi huku nikiwa nimebahatika kukaa karibu na Mhandisi mmoja ' maarufu ' sana nchini hasa kwa ' uweledi ' wake katika masuala mazima ya ' Kiuhandisi ' ndani na nje ya...
43 Reactions
210 Replies
30K Views
Habari za usiku wakuu. Naamini mko salama na wale mlioko kwenye magumu Mola awatilie wepesi yapate kuwa mepesi kwenu InshaAllah. Jamani kuna ubishi nimeushikilia tangu jana but hatujaweza kupata...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapotaja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake...
5 Reactions
237 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…