Natafakari enzi za JK

Natafakari enzi za JK

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,895
Reaction score
2,806
Ivi ni kweli awamu iliyopita ilitaka kuuza kipande cha nchi kwa miaka 99 bure kabisa?
 
Unashangaa nini ilhali miaka ya '90 kipande cha ardhi ya Tanganyika kule Loliondo kilimilikishwa kwa Sultan mmoja wa falme za kiarabu. Subiri walete takwimu.
 
CCM ni ile ile iliyopo madarakani enzi hizo ndiyo hiyo hiyo iliyopo sasa lakini mtu hana uwezo wa kulitambua hilo japo ni mwanachama wa CCM yaani anaona kama CCM imeingia mwaka 2015.
Kwa watu kama hawa uamini bila CCM hii nchi hawezi kwenda. Afrika bado tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo.
Utasikia mtu anasema bila CCM hii nchi isingekuwa na amani, sijui barabara na shule n.k . Nani alikudanganya? Umepewa dhamana ya kuongoza nchi ili ufanye maendeleo na siyo kuuza sura. Ni moja ya wajibu wako.
Utamkuta MwanaCCM wanamjadili JK utafikiri alikuwa CHADEMA au ACT. Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa CCM wakati wamesahau kuwa CCM ni mbaya siku zote.
Ukitaka kuona angalia comment ya FaizaFoxy.
Mimi mpaka keshokutwa siwezi kuikubali CCM
 
Wameuzia waarabu ardhi kule loliondo miaka 99
Waliuza maeneo mengi
Jakaya kaanza awamu tayari Waarabu wapo Loliondo, rudia rejea zako. Unaonesha huelewi Hilo. Labda umuulize Mkapa au Mwinyi.

Halafu Waarabu wa Loliondo wapo kwa mujibu wa sheria ya vitalu vya uwindaji, ni uongo kuwa "waliuzia" miaka 99.

Huwa sikisii.
 
Maisha yalikuwa mazuri sana.. Sasa hivi TBC tungekuwa tunaangalia mechi ya TZ na Egypt badala ya kipindi cha TUNATEKELEZA
 
CCM ni ile ile iliyopo madarakani enzi hizo ndiyo hiyo hiyo iliyopo sasa lakini mtu hana uwezo wa kulitambua hilo japo ni mwanachama wa CCM yaani anaona kama CCM imeingia mwaka 2015.
Kwa watu kama hawa uamini bila CCM hii nchi hawezi kwenda. Afrika bado tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo.
Utasikia mtu anasema bila CCM hii nchi isingekuwa na amani, sijui barabara na shule n.k . Nani alikudanganya? Umepewa dhamana ya kuongoza nchi ili ufanye maendeleo na siyo kuuza sura. Ni moja ya wajibu wako.
Utamkuta MwanaCCM wanamjadili JK utafikiri alikuwa CHADEMA au ACT. Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa CCM wakati wamesahau kuwa CCM ni mbaya siku zote.
Ukitaka kuona angalia comment ya FaizaFoxy.
Mimi mpaka keshokutwa siwezi kuikubali CCM
Chukuwa na likes 100 ya maneno
 
Ivi ni kweli awamu iliyopita ilitaka kuuza kipande cha nchi kwa miaka 99 bure kabisa?
Williamson diamond inamilikiwa na nani? Kwa nini iendelee kuitwa wiliamson diamond? Kuna nini nyuma ya pazia? Kw nini hakijawahi undwa kikosi kazi cha wazalendo kwenda kuchunguza ule mgodi? Je hakuna mkataba unaofanana na ule wa Bagamoyo? Naombeni majibu wajuzi
 
Unashangaa nini ilhali miaka ya '90 kipande cha ardhi ya Tanganyika kule Loliondo kilimilikishwa kwa Sultan mmoja wa falme za kiarabu. Subiri walete takwimu.
Hili itabidi tumtaarifu Magu alifanyie kazi
 
CCM ni ile ile iliyopo madarakani enzi hizo ndiyo hiyo hiyo iliyopo sasa lakini mtu hana uwezo wa kulitambua hilo japo ni mwanachama wa CCM yaani anaona kama CCM imeingia mwaka 2015.
Kwa watu kama hawa uamini bila CCM hii nchi hawezi kwenda. Afrika bado tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo.
Utasikia mtu anasema bila CCM hii nchi isingekuwa na amani, sijui barabara na shule n.k . Nani alikudanganya? Umepewa dhamana ya kuongoza nchi ili ufanye maendeleo na siyo kuuza sura. Ni moja ya wajibu wako.
Utamkuta MwanaCCM wanamjadili JK utafikiri alikuwa CHADEMA au ACT. Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa CCM wakati wamesahau kuwa CCM ni mbaya siku zote.
Ukitaka kuona angalia comment ya FaizaFoxy.
Mimi mpaka keshokutwa siwezi kuikubali CCM
Ila kwa Magu imebadilika kidogo
 
Maisha yalikuwa mazuri sana.. Sasa hivi TBC tungekuwa tunaangalia mechi ya TZ na Egypt badala ya kipindi cha TUNATEKELEZA
Huoni tunapata kinachojiri haraka zaidi
 
Back
Top Bottom