Nimemsikiliza kwa umakini wakati akizungumza kwa uchungu kwamba kapoteza watoto wake wawili wakiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya dengue.
Just imagine mtoto mmoja miaka 23 ambaye alikuwa rubani, mwingine miaka 26 huyu alikuwa fundi mechanics wa ndenge. Fikiria kama mzazi umesomesha watoto wako kwa kiwango hicho halafu ghafla homa ya Dengue inawachukua kutoka duniani how can u explain this?
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa yule mtoto wa mzee Malechela aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa nchini alitumbuliwa kwa kosa la kutangaza kwamba homa ya Dengue imeingia Tanzania. Sasa sijui mpaka sasa Serikali imeshakiri uwepo wa homa hiyo au labda bwana Abbas Talimba anatuongopea watanzania.
Anyway pole zangu kwa wafiwa kwa msiba mzito sana.