Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,668
- 33,692
Hello habari
Nimechelewa kidogo kuona topic ya Nyete Madai kuwa ni tapeli...
Lakini ningependa kushauri JF uongozi,
iweke kanuni kuwa kila anayeomba msaada awe Identity Verified,
haitamaliza tatizo as bado kuna watu watatoa fake credentials but naamini litapunguza tatizo.....
inasikitisha,atakuja mtu kweli anahitaji kusaidiwa,na wanajamii wasimtrust….kwa sababu ya huyu mkaka...
ombi linguine ni JF waanzishe mfuko wa kusaidia vijana kupata ajira,humu kuna expertiees wengi,Maxence make use of them...kusaidia life outside JF,
Wasalaam.
Becky.