Inawezekana kizazi chake kilikuwepo Zanzibar na ndio kinaendelea kufanya haya kwa taswira ya znz inaonyesha kulikuwa na waganda wengi mpaka kuwepo mapinduzi.
Tuje kwenye mada sasa.
Ukifatilia...
Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena.
Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na...
Wakuu mimi niko salama!.
Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehitimisha Ziara yake ya Kitaifa ya kihistoria nchini Urusi tarehe 05 Juni 2026 na kurejea nchini leo tarehe 6 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukusanyaji wa mapato ya maegesho katika eneo la Ifunda wilayani Iringa na...
Bajaji imekata wese. Dereva ameshuka anaipiga push kama vile anafanya mazoezi ya gym, lakini abiria wote wamebana ndani wanamwangalia tu.
Najiuliza, hivi abiria wanajihesabu kama sehemu ya mizigo...
Wakuu,
Hii ni kwa zile shule binafsi ambazo hawaruhusu watoto kurudi likizo au hawafuati ile ratiba kufunga na kufungua shule ambayo imewekwa na Wizara ya Elimu, leo Mkenda amezungumza
Akiwa...
Kwa kifupi: Hakuna mtu aliyezaliwa na nyota inayomfanya awe bora kuliko mwenzake. Lakini kuna watu waliopata mwanzo tofauti wa Maisha, na wengine wamebadilisha mwanzo wao wenyewe njiani.
Watu...
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa...
Mwenyekiti wa Chama cha umma Chauma Hashim Rungwe mzee wa ubwabwa inasemekana ndio mwasisi wa biashara ya kuleta magari mtumba used ama second hendi kutoka Japan.
Miaka hiyo ya 70 na 80...
👉Kumbe kazi ya uganga wa kienyeji inalipa kuliko nilivyokuwa nikifikiria hapo awali.
👉Ndani ya wiki mbili pekee nimeona uhalisia wa biashara hii ulivyo.
👉Nimegundua vijana wengi wa...
Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa...
Kichwa kinajieleza.
Kambi imevunjwa leo, kesho wameambiwa asionekane mtu Tifany Hotel, kwenye Account kuna 2M za TFF pekee. Ahadi ya 500M imeota mbawa, wameambiwa waache A/c hela zitaingia ila...
Takribani watu 49 wamekufa kwa kiu katika eneo la mbali la Jangwa la Sahara kaskazini mwa Niger baada ya lori waliokuwa wakisafiria kuharibika, mamlaka zimesema.
Kundi hilo lilikuwa likirejea...
Maboss.
Naomba mwongozo wa kujitoa kwenye Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) HR ameonesha ujeuri wa kutonipa ushirikiano.
Najitoa kwasababu binafsi. Naamini sio kosa Kiutumishi.
Asanteni.
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua...