Duh........
Shule gani hii? Iko wapi nataka nikawasaidie madawati.
Wewe unachekesha kweli, uache kusaidia famiia yako uende kusaidia wapiga kura wa CCM, waache tu mpaka watakapopata akili ya kujua CCM ni kichaka cha uovuShule gani hii? Iko wapi nataka nikawasaidie madawati.
True Development has no party.
Sakafu yenyewe ni ile inayopendwa nay"Mbungi" aka "funza" aka "jiggers"!!
May 2019Hii picha ya mwaka gani????