Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niaje wana... Leo nimetafakari hii issue nikaona hapana ya nini nitafakari peke yangu.. Acha nishare na wana hapa amaa..! Ni kuhusu huu utaratibu uliobadilishwa kuwa sheria isiyo rasmi.. Kuhonga...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Vijana wenzangu pamoja na wakubwa zangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
DENDA, Ni neno jepesi sana ila nimelitumia kuishi bila magonjwa kwa zaidi ya miaka kibao, Unataka kufahamu zaidi ???? Denda ni mtindo wa kunyonya ndimi na kuvuta mate ndani , Unapotumia hitaji...
6 Reactions
75 Replies
16K Views
Kwa mujibu wa Takwimu hizi zilizoanikwa hadharani na Gazeti la Citizen hii ina maana kuna upungufu mkubwa wa wahadhiri waandamizi. Kwa mukhtasari ina maana:- SUA- wanapungukiwa Maprofesa 71...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari Wanabodi, Week iliyipita nilifika ofisi za bodi yamikopo kwa elimu ya juu kuangalia deni langi limefika kiasi gani nikakuta limefika milioni 11+ kutoka kutoka milioni 7+ wakati namaliza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wadau. Naomba kujuzwa mbona hizi dawa ni taabu sana kupatikana siku hizi. Kulikoni????
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naitaji sana kazi kwa muda mrefu sana, ni kijana wa miaka 24 sina kazi kwa muda mrefu sana hadi naelekea kukata tamaa sina mbele wala sina future yoyote elimu yangu ni darasa la saba ila nina sifa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Najiuliza coz bwana makonda ameondoka km anaenda mkoani vile. Nyie wapanda ndege tupeni elimu mchakato ukoje hadi kufika misri.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bandiko mahususi wakati wakununua na kuuza viwanja, Wakuu kama umewahi kuuza ama kununua kiwanja kunahii tabia ya asilimia 20% anaramba Mwenyekiti na balozi wake ikiwa ni asilimia kumi Kwa...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi? Natumai mko vyema. Watanzania wamekuwa waio na shukran kwa kila jambo,iwe ni siasa, michezo na hata uongozi wa kila sehemu. Nitafafanua kidogo. UPANDE WA MICHEZO...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sifa kuu ya kiongozi hata kama ni kiranja sio Kufanya vitu, kutoa amri, kupendwa, kuwa na wafuasi wengi. Sifa kuu ni kuwafanya waliochini yako kuwa na uwezo wa kuongoza ikiwezekana kuliko wewe...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Habari wana jf Juzi kati nilikuwa maeneo ya NIDA temeke nikamuona dada mmoja analia na form zake mkononi Nikamuliza dada vipi mbona unaulia akasema kitendo nilichotendewa na afisa uhamiaji...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuchelewa ni miongoni mwa tabia ambazo hutukosesha matunda ya kuwahi kufanya jambo. Ni muhimu sana kujitahidi kujenga tabia ya kuwahi kufanya jambo lililokusudiwa kwa dhamiri yako. Mambo mawili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Plagiarism Quite simply, plagiarism is theft 😱 As I presented in the previous thread that reference is so important for scholars 👨‍🏫 and trusted writers ✍. Failure to acknowledge other people’s...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Mkuu wa Chuo cha serikali za mitaa kilichopo Dodoma ameamua kuwa tapeli jumla jumla yeye na uongozi wake wote. Wiki iliyopita tulimuonya kuhusu kulipisha watu ambao wamechaguliwa na serikali moja...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Live kutoka Kigamboni kwenye uzinduzi wa matanki ya kampuni ya Taifa gas, RC Makonda amwambia meya Eliya kwamba muda wake umeisha na asipohamia CCM hawezi kuwa diwani tena. Hafla hyo imefanyika...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msingi wa maendeleo ya Taifa lolote duniani ni elimu kwanza, bila kujalisha lugha inayotumika kufundishia. Kwahiyo nchi yetu ili ianze kubadilika kimaendeleo, tuuboreshe mfumo wa elimu. Mfumo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
-Mnapandishiwa vifurushi vya chuo, mpo tu hata hamulalamiki. -Mnapata elimu mbovu ambayo haiwasaidii kujiajiri, mpo tu. -Mna shinda vyuoni kupiga selfie, na kupata hugs mpo tu. -Mna shinda...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani Igunga John Mgeni ili kupitisha uchunguzi wa tuhuma za kudai rushwa zinazomkabili...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wale wafanyakazi ambao sisi tuliaminishwa kuwa watarudi kazini baada ya vyeti vyao kuonekana kuwa havikuwa na tatizo je wamerudi kweli kazini? Je kuna mtu anaefahamu hiyo orodha ya watu hao? Je...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom