Hance Bange
Member
- May 13, 2018
- 18
- 7
Haijalishi ni msomi au si msomi.Yafaa sana uendelee kusoma.Na kila aliye na fursa ya kusoma afanye hivyo kwa hiari na shauku kuu tena apate na kuwafundisha wengine (1Tim 4:13).Hakuna elimu isiyofaa wala kusoma kusiko faa.Kuweka malengo juu ya aina ya elimu uitakayo kwa kuzingatia wakati na dhamira yako,kunaweza kuja kukufunulia mbingu mpya ya maarifa yenye kufaa umma.
Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 chapisho la 2005; ibara ya 11 kifungu cha (2) - Kila mtu anayo haki ya KUJIELIMISHA, na kila raia atakuwa huru KUTAFUTA ELIMU katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahiki na uwezo wake.