MATTBOY
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 262
- 213
Habari za wakati ndugu zangu ,
Mimi ni Mtanzania ninayeishi nchini kenya, nimekuwa nikipata shida kwa upande wa mawasiliano kutokana na kukosa laini za nchi hii , nimejaribu mara kadhaa kwenda kwa wanaosajili laini ila wamekuwa wakiniambia siwezi kupata laini bila kuwa na ID ya kenya.
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu, je kuna njia yeyote ambayo raia wa nchi zingine wanaoishi humu nchini wanaweza kutumia kumiliki laini za safaricom , Airtel na Telkom?
Kama kuna hizo njia naomba nielekezwe ili nifuate kupata laini
Asanteni sana