Hapa mjini Dar sijui Kuna machumaulete

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,779
Yaani matumizi makubwa mpaka najiuliza nilikuwa sijui hapa dar natumia hela nyingi Sana halafu hela yenyewe hakuna yaani mikamari imejaa,mipombe,mistarehe, mihadarati,mihoteli,midemu..kwa siku unajikuta 30000 umeitumia.mavitu yenyewe fake fake tu hata sio natural Hali ya hewa yenyewe sio nzuri kivile.watu wanatukula tu hela
 
Kweli kabisa mkuu dar ni kupoteza muda tuu
 
Yaani matumizi makubwa mpaka najiuliza nilikuwa sijui hapa dar natumia hela nyingi Sana halafu hela yenyewe hakuna yaani mikamari imejaa,mipombe,mistarehe, mihadarati,mihoteli,midemu..kwa siku unajikuta 30000 umeitumia.mavitu yenyewe fake fake tu hata sio natural Hali ya hewa yenyewe sio nzuri kivile.watu wanatukula tu hela
Nani alaumiwe?
 
Back
Top Bottom