Twendeni Russia: Tumebakiza nini huku?

Twendeni Russia: Tumebakiza nini huku?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,265
Reaction score
25,539
Amani kwako mdau.
Taarifa kila mtu kaiona kama siyo kuisoma.

1000322192.jpg

Naandika tena, twendeni Urusi!.
Tuna mwezi mmoja huu wa june kutamatika na kufunga mwaka wa kiserikali.

Bunge limepitisha bajeti zake zote na bajeti kuu ya serikali ingali ya moto, twendeni Urusi.

Mbabe USA hapo alianza kugeuza shingo hivyo ili mwaka tuufunge kibabe lazima twende Urusi.

Hadi leo kuna dp world, mbabe usa majuzi kati kamegewa mines, wajomba wa ngorox2 na KIA, nk na nk.

Swali; ili July iende mundane hawa benten Urusi watapewa nini?

Twendeni Urusi tukasililize walezi wa Wagner wanaokota nini kwenye makabrasha!.

Nikiwa chunya hapa.
Nawasilisha.
 
Kwa hiyo tupo upande wa Urusi,NATO na USA upande wa Ukraine,Tumeisha huku kutofungamana!
 
Kabla hajaingia kwenye dili na urusi Ile kesi yake kule the Hague itakuwa imeivaa tayari.
Hii uranium ambayo anaenda kuwapa warusi itamtokea puani sidhani kama nchi za magharibi watafurahi kuona ushirika wa TANZANIA na urusi
 
Amani kwako mdau.
Taarifa kila mtu kaiona kama siyo kuisoma.

View attachment 3599581

Naandika tena, twendeni Urusi!.
Tuna mwezi mmoja huu wa june kutamatika na kufunga mwaka wa kiserikali.

Bunge limepitisha bajeti zake zote na bajeti kuu ya serikali ingali ya moto, twendeni Urusi.

Mbabe USA hapo alianza kugeuza shingo hivyo ili mwaka tuufunge kibabe lazima twende Urusi.

Hadi leo kuna dp world, mbabe usa majuzi kati kamegewa mines, wajomba wa ngorox2 na KIA, nk na nk.

Swali; ili July iende mundane hawa benten Urusi watapewa nini?

Twendeni Urusi tukasililize walezi wa Wagner wanaokota nini kwenye makabrasha!.

Nikiwa chunya hapa.
Nawasilisha.
Una nini mkononi kwani? Kutoka Chunya?
 
Una nini mkononi kwani? Kutoka Chunya?
Nimeshika simu na book la mipango ya siku inayoisha.

Yes ni chunya jombaa mwendo wa madini tu hapa.

Usisahau tupo ndani ya pipa ni Moscow moja hii.
20260602_175141.jpg
 
Back
Top Bottom