Hivi huyu mzee ninani kila sehemu humu namuona

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Ata uzi ambao hauhusiani nayeye namwona leo nimeamua kuuliza ninani ua alipatwa nanini hadi akatamba majukwaa mbali mbali?

tapatalk_1561570784274.jpeg


By exalioth
Natumia app ya jamiiforms
 
Ndie kamati yetu ya ufundi atakaye tusaidia kushinda match ya leo huko Misri dhidi ya wakenya
:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:😙😙😙😙😙😙
 
Back
Top Bottom