Tatu ziko wapi?

Tatu ziko wapi?

Baada ya kupigwa la tatu nimeona bora nilale tu maana dakika Zishayoyoma na matumaini hakuna tena.
 
Wanasiasa wamefanya baadhi ya Watanzania wasiipende Team ya Taifa.... Wakati kokote kule Duniani, Team ya Taifa inapewa support na Raia wote lakini kwa Tanzania wanasiasa wameharibu Molali ya baadhi ya Watanzania kuipenda Team yao ya Taifa.....ni aibu ilioje...!
 
Mzee was gundu alisema goli tatu. Labda hatukumwelewa kwamba tatu tunapigwa sisi.

Ushindi ungekuwa wa CCM. Kipigo ni cha CCM vile vile. Wachukue mzigo wao.

Pumbafu kabisa.


Labda alimaanisha tatu mzuka
 
Simba sc tafadhari sana msije mkajaribu kumteua makonda kuwa mhamasishaji wa club yetu maana huyu jamaa hajawahi kufaulu kwa lolote
 
Mzee wa gundu alisema goli tatu. Labda hatukumwelewa kwamba tatu tunapigwa sisi.

Ushindi ungekuwa wa CCM. Kipigo ni cha CCM vile vile. Wachukue mzigo wao.

Pumbafu kabisa.
Nyoko manyooo kabisa
 
 
Mzee wa gundu alisema goli tatu. Labda hatukumwelewa kwamba tatu tunapigwa sisi.

Ushindi ungekuwa wa CCM. Kipigo ni cha CCM vile vile. Wachukue mzigo wao.

Pumbafu kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
nimefurahi sana sana sana.
nitafurahi zaidi tukifungwa na ALGERIA 5.0 kelele zishe . ivi mahusiano ya ccm na mpira yapo wapi hasa? chama kimeshindwa hata kuendleza wanavyoita viwanja vyao kitawezaje kujivunia na mafanikio ya national team?
hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom