pansophy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 502
- 320
Mechi ya jana formation ilikua nzuri sana ndo maana tukapata goal la kwanza mapema, sasa nashangaa mwisho wa siku tumepigwa... ebu tujadiliane apa ili angalau mechi ya mwisho tukaze.
Unahisi tumefeli wapi? tatizo ni wanasiasa wamehusika? tatizo kocha? tatizo wachezaji? au wewe unahisi ni nini shida?
Unahisi tumefeli wapi? tatizo ni wanasiasa wamehusika? tatizo kocha? tatizo wachezaji? au wewe unahisi ni nini shida?