Wako wapi wasanii wa Injili waliotumika kuwanadi makada wa CCM uchaguzi mkuu wa 2015?

Freesoule

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
269
500
Wako wapi wale wasanii uchwara wa Injili waliotumika kuwa-promote wagombea wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2015? Bon Mwaitege, Rose Muhando, Bahati Bukuku, Upendo Nkone, Martha Mwaipaja, n.k.

Akina Rose Muhando, Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Upendo Nkone? Mimi tokea 2015 niliacha kabisa kuwasikiliza.

Nilisikia Rose Muhando yuko choka mbaya na aliibukia huko Kenya akidai aombewe.

Siwezi kusahau jinsi Bahati Bukuku alivyotuambia kwenye wimbo wake aliomwimbia Mwigulu Nchemba kuwa huyo ndiye chaguo la mungu. Mwigulu Nchemba hakuchomoka hata kwenye kura za maoni, nikabaki najiuliza "mungu yupi huyo ambaye Bahati Bukuku alikuwa akimzungumzia?" Pengine huyo Mungu ni njaa na tumbo lake.

Yule mwingine wa kujilizaliza Upendo Nkone sikuamini alichokifanya. Ndipo nikajua kuwa alikuwa anadanganya toto tu kujifanya kuimba kwa hisia. Ni mchumia tumbo mkubwa.

Hawa 'wasanii' wajue kuwa ni sehemu ya matatizo ambayo wanapata Watanzania leo chini ya utawala wa CCM.

Pia tusiwasahau wale "wasanii wa muziki wa dunia" kama akina Ali Kiba, Diamond, Mensen Selekta na Marlaw walivyotumika kuwanadi CCM.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000

Bahati Bukuku alitunga mpaka wimbo wa chadema Lowassa
 
smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
1,615
2,000
Wako wapi wale wasanii uchwara wa Injili waliotumika kuwa-promote wagombea wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2015?

Akina Rose Muhando, Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Upendo Nkone? Mimi tokea 2015 niliacha kabisa kuwasikiliza.

Nilisikia Rose Muhando yuko choka mbaya na aliibukia huko Kenya akidai aombewe.

Siwezi kusahau jinsi Bahati Bukuku alivyotuambia kwenye wimbo wake aliomwimbia Mwigulu Nchemba kuwa huyo ndiye chaguo la mungu. Mwigulu Nchemba hakuchomoka hata kwenye kura za maoni, nikabaki najiuliza "mungu yupi huyo ambaye Bahati Bukuku alikuwa akimzungumzia?" Pengine huyo Mungu ni njaa na tumbo lake.

Yule mwingine wa kujilizaliza Upendo Nkone sikuamini alichokifanya. Ndipo nikajua kuwa alikuwa anadanganya toto tu kujifanya kuimba kwa hisia. Ni mchumia tumbo mkubwa.

Hawa 'wasanii' wajue kuwa ni sehemu ya matatizo ambayo wanapata Watanzania leo chini ya utawala wa CCM.

Pia tusiwasahau wale "wasanii wa muziki wa dunia" kama akina Ali Kiba, Diamond, Mensen Selekta na Marlaw walivyotumika kuwanadi CCM.
mratibu wao alikuwa ni emmanuel mbasha(mume wa zamani wa flora mbasha).

kwa sasa yupo busy kwenye mtandao wa instagram akipost picha mbalimbali za binti yake.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,387
2,000
Wako wapi wale wasanii uchwara wa Injili waliotumika kuwa-promote wagombea wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2015?

Akina Rose Muhando, Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Upendo Nkone? Mimi tokea 2015 niliacha kabisa kuwasikiliza.

Nilisikia Rose Muhando yuko choka mbaya na aliibukia huko Kenya akidai aombewe.

Siwezi kusahau jinsi Bahati Bukuku alivyotuambia kwenye wimbo wake aliomwimbia Mwigulu Nchemba kuwa huyo ndiye chaguo la mungu. Mwigulu Nchemba hakuchomoka hata kwenye kura za maoni, nikabaki najiuliza "mungu yupi huyo ambaye Bahati Bukuku alikuwa akimzungumzia?" Pengine huyo Mungu ni njaa na tumbo lake.

Yule mwingine wa kujilizaliza Upendo Nkone sikuamini alichokifanya. Ndipo nikajua kuwa alikuwa anadanganya toto tu kujifanya kuimba kwa hisia. Ni mchumia tumbo mkubwa.

Hawa 'wasanii' wajue kuwa ni sehemu ya matatizo ambayo wanapata Watanzania leo chini ya utawala wa CCM.

Pia tusiwasahau wale "wasanii wa muziki wa dunia" kama akina Ali Kiba, Diamond, Mensen Selekta na Marlaw walivyotumika kuwanadi CCM.
cheki wengine hawa hapa....

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,270
2,000
Kwenye Injili Unafiki huwa hautakiwi. Ukiimba kinafiki kwenye kampeni za kisiasa lazima huduma ya uimbaji ife na anguko lake ni kubwa kuinuka tena ni shughuli pevu
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,666
2,000
Na sisi ambao sio wasanii ila tulizungusha mikono tukiimba "mabadiliko Lowassa" kisha tukatelekezwa na jamaa akarudi CCm tunacomment wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom