Nauli za Mabasi Mikoani.

Nauli za Mabasi Mikoani.

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Habari wakuu,
Hapa ndo naona sehemu rahisi ya kupata msaada.
Nataka kufahamu nauli za mabasi ya mikoani. Nikimpata wakala anayehusika au kampuni linalofanya usafirishaji wa abiria nitashukuru.
 
Wanakuja hivi punde
 
Dar to Songea 46,000/-
Dar to Mtwara 25,000/-
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Unataka kufahamu nauli ya kutoka wapi kwenda wapi?
i.e Dsm-Kigoma,au Dsm-Mtwara au ni kutoka mkoa gani (wengi huanzia au huishia Dsm_japo sio lazima) kwenda wapi au mikoa yooooote tu ya Tanzania?
Dsm kwenda Mtwara nauli ni shilingi ngapi?
 
Habari wakuu,
Hapa ndo naona sehemu rahisi ya kupata msaada.
Nataka kufahamu nauli za mabasi ya mikoani. Nikimpata wakala anayehusika au kampuni linalofanya usafirishaji wa abiria nitashukuru.
Mikoa ipi?
Dar, Mwanza, Kgm, Tanga, Mtwara......!
 
Unataka kufahamu nauli ya kutoka wapi kwenda wapi?
i.e Dsm-Kigoma,au Dsm-Mtwara au ni kutoka mkoa gani (wengi huanzia au huishia Dsm_japo sio lazima) kwenda wapi au mikoa yooooote tu ya Tanzania?
Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
 
Kuna basi ambazo huanzia hapo Msamvu kwenda Mwanza,
Kutoka Dsm hadi nzega nafikiri ni kama 40,000/= inaweza ikapungua pia
Sasa kutokea Morogoro kama utapata basi inayoanzia hapo inaweza kuwa kama elfu 30 hivi au na zaidi.
 
Back
Top Bottom