Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao.
Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukuru mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengine mpaka leo ningekuwa bado nipo ndani ya shithole country.
Pengine nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazosabishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo.
Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo.
Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha.
Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema.
Muda wangu wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha