Naitamani furaha lakin haidumu

Naitamani furaha lakin haidumu

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Mapito ya maisha ni mengi,yani maisha ni Kama movie Kuna wakati unatamani picha liishe lakin ndio ndisaaa
Nafanyaje kuipata furaha Mana stress ni nyingi,na hata nikifarijika kidogo tu furaha yangu haidumu
Nahitaji furaha yakudumu wazee nipeni ushauri
 
Furaha unaitengeneza mwenyewe Mkuu. Chunga chenga na unga, yanayokuletea stress weka/tupa mbali tafuta yanayoujaza moyo wako furaha endea hayo.
Ziba masikio (na hisia pia) kwa manung'uniko na lawama toka kwa wanaokuzunguka.....ishi your principles.
 
Uko wapi!? Shughuli yako nini!?
 
Dunia hii Ina mambo Mengi sana ukisubiri kupendwa utasubiri sana Na ukisubiri kusifiwa utasubiri sana cha kufanya jiamini jisifie mwenyewe hata kama haufanani jiamini kama ww ni bora zaidi ya hao
 
Mapito ya maisha ni mengi,yani maisha ni Kama movie Kuna wakati unatamani picha liishe lakin ndio ndisaaa
Nafanyaje kuipata furaha Mana stress ni nyingi,na hata nikifarijika kidogo tu furaha yangu haidumu
Nahitaji furaha yakudumu wazee nipeni ushauri
Unateseka wakati Walume ndago wakukupa furaha tupo nini shida mrembo
 
Furaha unaitengeneza mwenyewe Mkuu. Chunga chenga na unga, yanayokuletea stress weka/tupa mbali tafuta yanayoujaza moyo wako furaha endea hayo.
Ziba masikio (na hisia pia) kwa manung'uniko na lawama toka kwa wanaokuzunguka.....ishi your principles.
Thanks
 
Back
Top Bottom