Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,334
- 2,059
Kuna mambo unaweza kuyatafakali ukajikuta unamkufuru Mungu wako. Hivi taifa la watu milioni 55 hakuna kitu chochote tunaweza kukifanya kwa uhakika wa 100% kweli?
Sio siasa, Michezo,elimu, mapenzi,uchumi yani kote uko sisi ni watu wakuunga unga? Something might be wrong somewhere? I swear to God sio bure kuna tatizo pahala na kama atutajitizama vizuri kuna mengine makubwa yanakuja kama nchi.
Nimalizie kwa kusema kipigo cha jana dhidi ya Kenya nimeshindwa jinsi ya kukipokea kama kuna mtu ana kapesa kidogo mfukoni anitumie niendelee kupiga k-vant maana kichwa changu kimeshindwa kupokea matokeo.