Najua kipindi kama cha chaguzi mbali mbali katika vyama ili kupata wawakilishi katika kugombea uraisi kila chama kina taratibu yake,ila tume ya uchaguzi inasubiri majina kutoka katika kila chama...
Habari humu JF!
Naamini Jtatu, iko njema .
Kama, kichwa kinavyosomeka hapo juu.
Napenda , kuulizia, eti siku RC akitoa vyeti nini kitakachofatia baada ya kelele na yowe za bishop uchwara Na...
Wadau,
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu hivi ni sababu gani kuu inayopelekea mikutano ya wadau kwenye haya mashirika ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF,PPF,LAPF na GEPF yote kufanyikia Arusha...
TANZANIA ina upungufu mkubwa vitabu vya elimu kwa ajili ya kufundishia (kiada) na kujifunzia (ziada) jambo ambalo limechangia ongezeko la waandishi wengi.
Kuibuka kwa wimbi la waandishi wengi...
Wafanyabiashara 13 wa Wilaya za Babati na Hanang’ Mkoani Manyara, wamesalimisha katoni 1,540 za pombe zilizofungashwa kwenye karatasi (viroba) zenye thamani ya sh140 milioni.
Mmeonesha uzalendo...
Wadau salamu sana,
Kwa mazoea kawe beach ni sehemu maarufu kwa uchomaji wa samaki jijini,mbali na ukweli kuwa zipo sehemu nyingine kama Meeda sinza,Safari carnivor ambapo mchomaji maarufu wa kawe...
Bango la matangazo lililopo round about ya Mlimani city lina mwanga mkali sana usiku na linawaumiza sana macho madereva wanaotoka ubungo kuelekea Mwenge. Tafadhali wahusika msisubiri accident...
Leo ndyo Tumejua kuwa ukipigana ukiwa CcM utakuwa umejifukuzisha mwenyewe. Ni bora ufoji vyeti kuliko kupigana kama wewe ni mwanachama wa CCM.
Ila ukipiga hii mutu utapata cheo.
Ngoja...
Habaribwungwana.
Ni matumaini yangu kuwa mko vyema.
Napongza sana utendaji kazi wa Tanesco
Pamoja na utendaji kazi kuwa mzuri lakini wilaya ya Lushoto inawatia doa kwa kufanya mambo kizembe...
Leo najiuuliza mfumo wa elimu ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, najiuliza kama elimu hii inawafanya vijana wetu waelimike kiasi cha kuweza kupambana na maisha na mazingira yaliyo mbele yao...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi milioni 840 za faini ya makosa mbalimbali ya barabarani kwa kipindi cha wiki moja ya oparesheni iliyofanywa...
Maisha kwakwel yamekuwa magumu sana wanaopeta ni wale wenye nafasi zao serikalini
Ukisema ujiajili serikali inabana karibia sector zote.
Mfano kwenye biashara kodi zipo lukuki kiasi kwamba huwezi...
Kama nilivyouliza ktk heading,wadau naomba mnifahamishe na hii ni kwa wale waliopo Dom ktk kikao au wale wanaotizama mubashara.
Hicho kifaa ni kifaa chenye kazi gani ? Kipo upande wa kulia mwa...
Tabia ni kama ngozi, asili ya mtu na vitendo vyake unaweza kuvitathimini na kuvigundua pale endapo utakuta majibu yake kwenye mijadala mbali mbali kwenye mitandao mfano jf.
Wacha leo nizungumzie...
habarini wadau! msaada jinsi ya kupata ufadhili wa mradi binafsi katika masuala ya ufugaji, concept note ishaandaliwa ila sijajua naanzia wap kuipeleka.Asanteni
Mimi nilifaulu vyema form 4 (dvn 1ya 8) na form 6(dvn 1ya 9) ila bahati mbaya cjafanikiwa kupata mkopo mwaka huu hivyo nimesitisha mwaka chuo. Ninaweza kufundisha masomo ya...
Wakuu,poleni na mihangaiko.
Nyanya kama kiunge muhimu kwenye mboga, leo hii tarehe 12.03.2017, sado 1 inauzwa shilingi elfu kumi (TZS 10,000).m,na nyanya moja inauzwa kati ya TZS 300 mpk 500...
Habari za Kazi wana Jf Poleni na majukum
Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia
Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa
baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania
moja ya vyuo hivo ni...