Ugumu wa maisha

makoroboi83

Member
Feb 18, 2017
37
23
Maisha kwakwel yamekuwa magumu sana wanaopeta ni wale wenye nafasi zao serikalini
Ukisema ujiajili serikali inabana karibia sector zote.
Mfano kwenye biashara kodi zipo lukuki kiasi kwamba huwezi kuona unachokifanya ukisema uwe bodaboda hizo ndio balaa kwa kukamatwa
Kiasi kwamba hazitakiwi kuingia mjini je wakati zinaingizwa nchini walikuwa hawajui?
Watu umewasomesha ualimu mwisho wa siku unawaambia serikali haina Ajira za kuwapa
Saa nyingine huwa natamani sana ile Tanzania ya mwinyi au Mzee Jakaya
 
na bado ndo kwanza hata nusu ajafikia unakumbuka lile pambio la "tumejipanga mwaka huu wataisoma " sasa ndo tunaisoma namba vizuri na bado za kirumi
 
Back
Top Bottom