Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,312
Tabia ni kama ngozi, asili ya mtu na vitendo vyake unaweza kuvitathimini na kuvigundua pale endapo utakuta majibu yake kwenye mijadala mbali mbali kwenye mitandao mfano jf.
Wacha leo nizungumzie kwenye mtandao wetu wa jf, % kubwa ya waliowengi humu kila mmoja hamjui mwenzake alipotoka, anapokwenda na alipo kwasasa, lakini unajikuta unakua na ham ya kuleta kitu ambacho kinaweza kutusaidia waliowengi, lakini wanakebehi, kukejeli na hata wengine kutukana kama vile ulimchukulie mke wake.
Naweza kusema kwamba humu ndani kuna makundi tofauti yenye ushindani usiokwisha, wengine hata waandike mazuri lazima kuna watu watapishana na maelezo yale kana kwamba anaambiwa yeye, natoa rai ifike mahali iwe tunaheshimiana kama vile tupo kwenye vikao vya familia.
Sio lazima kujibu kila thread inayowekwa nyingine unaweza kuzipotezea tu, mi nina imani laiti tungekuwa tunaonana basi watu wangetoana manundu ya uso kwa jinsi wengine wanavyokera.
Nisiwachoshe sana wacha niwapumzishe mle wikiend iliyo salama, kwa kumalizia tu kama huwezi kupita bila kumuudhi mtu bora uache kujibu chochote, nawatakia mapumziko mema.