Elimu yetu, mfumo usiozaa matunda

Chachata

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
201
134
Leo najiuuliza mfumo wa elimu ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, najiuliza kama elimu hii inawafanya vijana wetu waelimike kiasi cha kuweza kupambana na maisha na mazingira yaliyo mbele yao.

Najiuliza kwanini Afrika hakuna uvumbuzi, kwanini Africa isizalishe vifaa vyao

Najiuliza mengi nagundua tatizo kwenye mfumo wa elimu.

Katika ukurasa huu naomba maoni juu ya mfumo ambao ni bora tukiufata tunaweza kufanikiwa
 
Back
Top Bottom