Kupigana ni kosa kubwa kuliko kufoji vyeti ukiwa CCM.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Leo ndyo Tumejua kuwa ukipigana ukiwa CcM utakuwa umejifukuzisha mwenyewe. Ni bora ufoji vyeti kuliko kupigana kama wewe ni mwanachama wa CCM.

b7dcabac380dd24f0fdc868c371b7759.jpg

Ila ukipiga hii mutu utapata cheo.

Ngoja tupoteze tu muda. Hii habari ni uzushi
 
Kila kitu ni ushahidi kuwepo, umepigana umeonekana hadharani na ushahidi upo kwa nini usichukuliwe hatua? Kufoji vyeti hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi hadi sasa hivi zaidi ya kupiga tu kelele zisizokuwa na supporting evidence.
 
Nani kaomba ushahidi?
 
Halafu yule anayekuja speed na jabali kule mbona kama anafanana na naniii, nani yule? Jina limenitoka kidogo.
 
Kila kitu ni ushahidi kuwepo, umepigana umeonekana hadharani na ushahidi upo kwa nini usichukuliwe hatua? Kufoji vyeti hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi hadi sasa hivi zaidi ya kupiga tu kelele zisizokuwa na supporting evidence.
Acha kutoa povu.. ushaambiwa habari ni za uzushi
 
Kila kitu ni ushahidi kuwepo, umepigana umeonekana hadharani na ushahidi upo kwa nini usichukuliwe hatua? Kufoji vyeti hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi hadi sasa hivi zaidi ya kupiga tu kelele zisizokuwa na supporting evidence.
Gwajima na mwanahalisi wameweka wazi kila kitu. Sawa ni zamu ya bashite kuweka counter evidence ya tuhuma hizo
 
Kila kitu ni ushahidi kuwepo, umepigana umeonekana hadharani na ushahidi upo kwa nini usichukuliwe hatua? Kufoji vyeti hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi hadi sasa hivi zaidi ya kupiga tu kelele zisizokuwa na supporting evidence.

Bashite (Kibanga) ampiga Warioba.

Kijani hiyo jana wamempiga mbunge wa chadema na picha zipo hakuna aliyewekwa ndani.
Mungu wa Israel atashuka kupigana na mungu-bashite
 
Kila kitu ni ushahidi kuwepo, umepigana umeonekana hadharani na ushahidi upo kwa nini usichukuliwe hatua? Kufoji vyeti hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi hadi sasa hivi zaidi ya kupiga tu kelele zisizokuwa na supporting evidence.
mwenye busara akivuliwa nguo huchotama.

Mimi ninachoona yeye na nyie wafuasi wake,mnainama
 
Leo ndyo Tumejua kuwa ukipigana ukiwa CcM utakuwa umejifukuzisha mwenyewe. Ni bora ufoji vyeti kuliko kupigana kama wewe ni mwanachama wa CCM.

b7dcabac380dd24f0fdc868c371b7759.jpg

Ila ukipiga hii mutu utapata cheo.

Ngoja tupoteze tu muda. Hii habari ni uzushi

Forgery ndiyo rangi halisi ya ccm. Wanafake kuanzia sura, maneno, mahusiano, vyeti, agenda hadi kura. Hilo si kosa hata kidogo.

Kupigana ni kosa kwa kuwa kwao inachukuliwa kama kupingana. Sera na uahi wa chama chao ni NDIYOOOOOOO!. hawaruhusiwi kupingana , Na kwa hiyo kupigana n dalili kubwa ya kupingana kitu ambacho ni jinai.

Lakini pia kwao kumpiga mtu mwningine ni credit. Angalia kama Marehemu Mawazo, Warioba, n.k. Ccm ni genge la la maharrameae sugu.
 
Leo ndyo Tumejua kuwa ukipigana ukiwa CcM utakuwa umejifukuzisha mwenyewe. Ni bora ufoji vyeti kuliko kupigana kama wewe ni mwanachama wa CCM.

b7dcabac380dd24f0fdc868c371b7759.jpg

Ila ukipiga hii mutu utapata cheo.

Ngoja tupoteze tu muda. Hii habari ni uzushi
Like father like son. Kama unavuta sigara mwanao naye akivuta utampiga? Tafakari
 
Back
Top Bottom