Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Wakuu,poleni na mihangaiko.
Nyanya kama kiunge muhimu kwenye mboga, leo hii tarehe 12.03.2017, sado 1 inauzwa shilingi elfu kumi (TZS 10,000).m,na nyanya moja inauzwa kati ya TZS 300 mpk 500.
Kwa maana hiyo, bei ya nyanya inakimbilia bei ya debe moja la mahindi ambalo libauzwa kati ya TZS 10,000 mpk 20,000.
Ugali taabu, mboga nayo taabu. Tule majani bila nyanya?
Ikumbukwe pia, kipindi kifupi cha nyuma, nyanya ilikosa soko debe moja likawa linauzwa TZS 500 (mia 5) kule Dakawa Morogoro.