Mimi nilifaulu vyema form 4 (dvn 1ya 8) na form 6(dvn 1ya 9) ila bahati mbaya cjafanikiwa kupata mkopo mwaka huu hivyo nimesitisha mwaka chuo. Ninaweza kufundisha masomo ya physics,biology,mathematics na chemistry. Pia naweza fanya kazi yoyote ile halali ili niweze pata hela ya kuendelea kujisomesha na kujikimu .Naombeni msaada wenu kind regards beforehand 0657316399 napatikana