Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,704
Habari za Kazi wana Jf Poleni na majukum
Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia
Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa
baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania
moja ya vyuo hivo ni Kondoa na Chuo cha
Uuguzi Mirembe ambacho kipo Hospital ya
Mirembe Dodoma...
Ufadhili huo ulilenda moja kwa moja kwa
baadhi ya wanafunzi wa Uuguzi katika ngazi
ya cheti (certificate).
Ombi langu ni hili kama kuna mtu
anaefahama swala hili la Global fund au
mwenye mawasiliano yao naomba anisadie
Asanteni....
Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia
Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa
baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania
moja ya vyuo hivo ni Kondoa na Chuo cha
Uuguzi Mirembe ambacho kipo Hospital ya
Mirembe Dodoma...
Ufadhili huo ulilenda moja kwa moja kwa
baadhi ya wanafunzi wa Uuguzi katika ngazi
ya cheti (certificate).
Ombi langu ni hili kama kuna mtu
anaefahama swala hili la Global fund au
mwenye mawasiliano yao naomba anisadie
Asanteni....