Wanafunzi na wahadhiri wa jalalani mnakwama wapi

Wanafunzi na wahadhiri wa jalalani mnakwama wapi

mtekaji

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
54
Reaction score
59
Hiki ni chuo pendwa tangu zamani lakini mainjinia wa hapo jalalani wanakosa tenda na wanashindwa na wachina hata kujenga mitaro huku tandale
 
Hiki ni chuo pendwa tangu zamani lakini mainjinia wa hapo jalalani wanakosa tenda na wanashindwa na wachina hata kujenga mitaro huku tandale
Maprofessor wenyewe wanapaita jalalani, panaweza kutoa watu wanaojielewa kweli[emoji846]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]..Jalalani university
 
Aliewaambia mpate DD na EE mkaenda vyuo vya kata sijui teifilo ,ndio wakumlaumu.
 
Back
Top Bottom