Masikitiko : Maonesho ya biashara ya kimataifa ( sabasaba ) chali miguu juu , chanzo ni kuporomoka kwa uchumi

Nimesoma mahali toka huyo dhalimu dikteta na nduli aingie madarakani 2015 umaskini nchini umepungua kwa 2%. Hawana aibu wala woga wa kusema uongo wao kwa Watanzania.

Kama ulikuwa hulifahamu hili basi ni wakati wako wa kulifahamu , mabanda yanagombea wateja wachache waliojitokeza badala ya wateja kuyagombea , hii ni rekodi
 
hata hivyo kwa tamaduni za kiswahili za watz, sidhani huwa wanaenda kwenye yale maonyesho kwa ajiri ya kufanya manunuzi.

wengi huwa wanakwenda kwa ajiri ya matembezi tu ya kawaida ya kufanya window shopping.

kama hata idadi ya wafanya window shopping imepungua, basi hapo kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom