MZIMUNI ndani ya hostel za usagara tanga

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Naomba niwaulize Leo wakuu mbalimbali mliowahi kupita usagara miaka hiyo ya zamani,pale hostel za usagara Kuna room inaitwa MZIMUNI karbu na WEST PARK inasemekana Kuna kijana alipotea katika chumba hicho alipokua akijisomea yaani alipiga kitabu mpaka aka disappear na alitafutwa hakuonekana na inaaminika yupo mule mule ila haonekani ,wakongwe na wahenga mlioishi pale hostel je story hii ni ya kweli au ni chai tu za hostel master Mr signatory
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom