Hivi nyie NMB mnafeli wapi siku hizi?

Hivi nyie NMB mnafeli wapi siku hizi?

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
NMB mnatuangusha wateja wenu ,nimejaza kuomba huduma ya online shopping ,taklibani wiki 3 sasa kila nikifuatilia mnasema bado ,oho Mara sijui kilikwenda kimeludi ,sasa haka kahuduma kanaugumu gani mpaka kachukue siku zote hizo mteja kukapata? Mbona ukienda benki zingine mfano crdb inachukua siku chache sana ,nyinyi mnafeli wapi ? Hii ni aibu kubwa sana jamani jirekebisheni.
 
Online shopping kivipi mkuu? ATM card yako si ni ya MasterCard au Visa?
 
Nimeacha kutumia NMB kitambo sana mwaka 2008, na hata NBC nao wana mambo yasiyoeleweka kwenye suala zima la teknolojia, benki waliokuwa wanaeleweka ni CRDB lakin taarifa za mteja si salama sana nawaambia ukweli, hata pesa zake zinaweza kuzuiliwa eti kisa mtu fulani anakudai
 
Mimi mwaka 2008 nilikuwa sijiu kama kuna kitu kinaitwa Bank,,

By the way wadau mtaani wanadai Bank za kenya zilizopo hapa nchini mwetu ziko vizuri sana ,,ambazo ni
1 DTB
2 KCB
3 Equity bank

Ziko vizuri kiasi chake
 
Online shopping kivipi mkuu? ATM card yako si ni ya MasterCard au Visa?
Huwezi kufanya shopping online kwa kutumia kadi yako hata kama ni Mastercard au VISA ,mpaka wakuruhusu kwa maombi maalum.
 
Let's go Mpesa MasterCard piga hao mburula wanaoishiwa mbinu za kibashara sasa hivi ,yani bank unahitaji huduma flani mpaka 20 days kweli jamani ?
 
mimi mwenyewe NMB sometimes huduma zao sizielewi, mfano swala simu ya huduma kwa mteja mfano umepata dharula ya NMB mobile utapiga simu mpaka ukome haipokelewi ni mpaka uende bank ukaseme shida yako wakujazishe fomu aaghaaaa
 
NMB mnatuangusha wateja wenu ,nimejaza kuomba huduma ya online shopping ,taklibani wiki 3 sasa kila nikifuatilia mnasema bado ,oho Mara sijui kilikwenda kimeludi ,sasa haka kahuduma kanaugumu gani mpaka kachukue siku zote hizo mteja kukapata? Mbona ukienda benki zingine mfano crdb inachukua siku chache sana ,nyinyi mnafeli wapi ? Hii ni aibu kubwa sana jamani jirekebisheni.
nenda katika tawi lao
 
Back
Top Bottom