Je, umewahi kufikiria Kununua kitu Online

Ponjolo

Member
Sep 30, 2016
30
29
Habari Wanzengo,
Ni karne ya 21 dunia inakwenda kasi maendeleo ya sayansi na teknolojia yanatufikisha mbali na kuweza kufanya chochote kiganjani..

Kwa nchi zilizoendelea moja ya njia inayotumika sana kununua bidhaa mbalimbali ni online shopping platforms kama amazon and eBay...

Miaka ya hivi karibuni kutoka takwimu za jarida la Reuters linaonyesha takribani watu 23million wanatumia internet katika simu zao.. Je wanatumia kwa malengo gani?
Na kwa spidi hii tuliyofikia ni wangapi wana uthubutu wakuweza kununua vitu online...??

Na Je umewahi kufikiria kununua kitu chochote online?

Nawasilisha...

SmartSelectImage_2019-01-07-12-29-31.jpeg
SmartSelectImage_2019-01-07-12-31-39.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom