Wakuu,
Mwenyeji au mwenye uzoefu na hoteli nzuri za Singida anisaidie. Bajet yangu ni minimum TZS 25,000 na maximum TZS 40,000 per night. Sipendi bendi za usiku, stand, nyumba za ibada, nk...
Kwanza nianze kwa kuwasalimia wadogo na wakubwa humu jamvini.
Mm nimpenga mitaa flani (geto), chumba kimoja. Nipo na majirani wenzangu , but kiukweli hapa nimeona kitu kinachonifanya niumie kila...
hello Jf members! Nimekuwa nikijihuliza sana hivi ni kwanini kuna majina ambayo mara nyingi hupatikana kwa waislamu weusi kwa mfano khamis, Maulid, Abasi na mengine mengi maana hata ndugu yangu...
Wahenga walisema 'kuuliza sio ujinga' hivyo basi napenda kujuzwa ni kwanini majina mengi ya ndugu zetu wajaluo huwa yanaanza na helufi "O"
Ukienda sehemu ngeni ukasikia majina kama Omondi, Omera...
Inside Tanzania’s mineral trading hubs
By Scarlett Evans
The Tanzanian Government has announced plans to establish mineral trading hubs across the country in a bid to eliminate illegal exporting...
Raia wa Tanzania, Rashid Mberesero amekutwa na hatia kutekeleza shambulio la kigaidi nchini Kenya mwaka 2015.
Mtanzania huyo mwenyeji wa Kilimanjaro pamoja na Wakenya wawili wamepatikana na hatia...
Nawasalimu wakuu,Nina shida ya kukodishiwa moja wapo ya gari hizo hapo kwa ajili ya shughuli zangu haswa kwa siku za weekend tu ndan ya miez 3,weekend niwe nayo mimi week day narudisha,Mimi niko...
Wana bodi.
Kwa tulio kukia makambini (mahanga) enzi hizo tunajua maisha magumu yanayo wakabili askari wengi wanapo staafu utumishi unaoitwa uliotukuka ila hii imeniacha kinywa wazi.
Huyu mzee...
Habari wakuu
Ni muda kama masaa yamekata, naona network ya WhatsApp inasumbua wakati mitandao mingine inafunguka vzr,
Hasa nikitaka kupakua/kutuma picha au video , je ni kwangu tu au pote...
Habari za jioni wanajamii Usiku huu wakati natoka katika majukumu yangu ya kila siku. nimekatiza katika moja ya barabara mitaa ya Mbagala rufu barabara ya kuelekea stendi nikiwa na Toyota...
Enzi hiizo wakati bado kijana naishi getto, alinipigia Sim "Dem" wangu akaniambia beby Jmosi nakuja kukufulia Nguo.
Doooh nilisema hii ni neema hasa ukizingatia wanaume wengi ni mtihani suala la...
Ndiyo hivyo tena mwenzenu nipo hapa nakwangua vocha ya Halotel lakini ghafla najiuliza ni kwa namna vocha ya karatasi ya elfu kumi inabadirishwa vipi na kuwa na thamani ya pesa!?
Wajuzi nijuzeni.
Naomba kuuliza,kwahyo adam b4 hajala tunda alikuaje,yaan kiakil
Je alikua
1.mwerevu
2.zuzu
Then nataka sema hiv,hata adam asingekula tunda lile,..angeanguka tuu dhambin sabab uovu ulishaingia...
1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote. Wana uwezo wa kuishi katika mazingira magumu. Aina moja kwa jina Eublaberus posticus wanaweza kuishi mwaka mmoja kwa...
Ivi hizi halmashauri na serikali za mitaa lakini pia taasisi mbalimbali zikiwemo za mazingira na afya zipo wapi katika kuangalia swala hili la masoko kufanyika kwenye mitaa ya wananchi. Hii hali...
Mtanzania gani mwingine ana followers Instagram zaidi ya hawa? Sio mtumiaji sana wa Instagram lakini katika pitapita zangu naona hawa wanao followers wengi sana.
Diamond ana followers 7.1...
JESHI la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linamshikilia mkazi wa Matejoo mkoani Arusha, Teddy Stephano (26), ambaye anatuhumiwa kuiba mtoto mwenye jinsi ya kiume anayekadiriwa kuwa na umri...
Habari wakuu.Heshima yenu wote mlionizidi maarifa na umri.Mimi ni mwanamke wa miaka 29.Nimeolewa na kujaaliwa watoto wawili.Nimekua nikijaribu kutoka nje ya nchi kwenda ughaibuni (USA) Ila...
My point, hakuna nchi inayojengwa na watu wa nje, nchi inajengwa na wananchi wenyewe, Tanzania itajengwa na watanzania kupitia kodi, naomba kuorodhesha baadhi ya faida za kulipa kodi kwa mwananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.