Nikikumbuka hii kitu naishia kucheka tuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,026
15,316
Enzi hiizo wakati bado kijana naishi getto, alinipigia Sim "Dem" wangu akaniambia beby Jmosi nakuja kukufulia Nguo.

Doooh nilisema hii ni neema hasa ukizingatia wanaume wengi ni mtihani suala la kufua nguo.

Nikaenda kucheki kwanza hizo nguo chafu zina hali gani. Dooooo hizo nguo zilikuwa ni chafu balaa yani hazifai kufuliwa na mtu. Nguo za kuvaa mara mbilimbili nimezivundika kwenye Tenga.

Nikaona sasa hii itakuwa aibu kwa huyo mwanamke wangu. Basi nikaamua nizifue.

Nikadamka asubuhi nikazifua zotee zikawa safi. Baada ya kukauka nikazirudisha kwenye kikapu cha nguo chafu.

Yule dem alivyokuja akazichukua na kuanza kuzifua tena hadi akamaliza.

Muda alipomaliza kufua akat anapika, akawa ananisifiiii bebeee we unavaa nguo vizuri hata hauchafui nguo. You are the kind of smart Men.

Mm nikamuangalia, nikasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ( in Anco Magu voice) Angejua izo nguo zilivyokuwa wala asinge sema

Toka siku hiyooo Ndipo nilipoacha uvivu wa kufua Nguo.
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mamaaaaaaeee ulipambnia kila kitu mzeeee baba

Hahaha....kipindi cha nyuma npo o level kuna dem jmos alkuaga anakuja chukua nguo zng na kwenda kuzfua,so nlchokua nakfanya n kuzpulzia marashi ndo nampa
 
Sisi tabia ya kusafisha getho siku ambayo dem anakuja ndio imekuwa sugu

Siku moja kabla hajaja tunanunua Ariel tunafua mashuka yote na kudeki hadi uvunguni....Dogo anapiga mng'ao vyombo na kutandika kitanda

Tunakaacha kauchafu kadogo mlangoni ili asije akatuona tunang'arisha getho kwajili yake tu na ajue usafi ni kawaida yetu.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom