Hotel nzuri ya kufikia Singida mjini

Hotel nzuri ya kufikia Singida mjini

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,024
Reaction score
2,271
Wakuu,
Mwenyeji au mwenye uzoefu na hoteli nzuri za Singida anisaidie. Bajet yangu ni minimum TZS 25,000 na maximum TZS 40,000 per night. Sipendi bendi za usiku, stand, nyumba za ibada, nk. Nahitaji utulivu na usalama wa hali ya juu..
Nimekuwa nikitumia hili jukwaa kupata huduma za malazi mikoani, hamjawahi kuniangusha.
 
Kuna ile Rafiki Resort ni pazuri. Chumba cha kawaida ni 40,000/= na suite ni 50,000/=. Namba zao za simu ni +255 26 250 2810.
Ila pia kwa siku nyingine unaweza kutumia apps za Booking.com, TripAdvisor, Airbnb n.k. kupata taarifa za hoteli mbalimbali popote pale unapotaka kwenda.
 
Excellent

Nadhan ni stanley hotel! Ni sehemu nzuri sana na inautulivu wa hali ya juu. Last nililala rum ya 35,000 ilikua nzuri na breakfast was superbly!
Hiyo Stanley Motel uliyotaja ni ya kawaida sana, tena sana na hawana hiyo superb breakfast. Labda kama umechanganya jina la hotel. Lakini kama ni hiyo Stanley ninayoifahamu mimi niliwahi kulala hapo kwa 30,000/= na ni kwa vile sikuwa na option nyingine.
 
Sina uhakika kama tunaongelea kitu kimoja,ipo njia ya shinyanga, upande wa kushoto kuna oil com petrol station zen unaingia ndani ndani zaid

Back
Top Bottom