Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

............
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi..... Kama tunavyofahamu kuwa Afcon sasa hivi tunashangilia wenzetu, lakini nashangaa clouds fm wanaendelea kurusha matangazo yao ya serengeti breweries kuwa sasa hivi Tanzania...
4 Reactions
4 Replies
922 Views
Wadau kwema..,Kuna nyimbo tunaulizana hapa jamaa kaweka pesa kwa atakaye ikumbuka kitambo kidogo inaimba ..,(Sasa wanaanza kulia ee nuhuu ee nuhu utufungulie safina) Jamani msaada kwa anayeijua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amani kwenu! Ninahitaji kusafiri kwenda DSM kesho kama kichwa cha habari kinavyosema, na ni muhimu niwe nimefika kabla ya saa 11 jioni. Kama kuna wadau wa usafiri humu ndani wanaweza kunisaidia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wazalendo was timu ya taifa muda huu channel yetu pendwa ya ITV superbrand Africa Mashariki Inawaletea mapokezi ya kuwasili kwa timu ya taifa nchini kutoka kwenye mashindano ya afcon huko Misri...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Jumla ya Faru 10 wanatarajiwa kuingizwa nchini na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Grumeti Fund lengo likiwa ni kuongeza idadi ya wanyama hao hapa nchini. Kuagizwa kwa Faru hao kutaongeza idadi yao...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
wandungu na penda kudumisha fikra za watu wa mkoa pendwa wa mara ili kuepuka fedhea Wanaume wanazo kutana nazo kwenye ulimwengu huu wanasema wa (utanda wazi) demokrasia kwenye ndoa Kutwa nzima...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama nilivyoeleza hpo juu, hivi ultra sound inaweza kutoa majibu ya uongo au yasiyo na uhakika..kwan nimekutana na case tatu tofauti jpo mbili zinafanana... Coz mtu wangu wa karibu amepima...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
SERIKALI ilitangaza kuyapandisha hadhi mapori ya akiba matano yaliyoko mkoani Kagera na kuwa hifadhi za taifa, Mei, mwaka jana. Mapori hayo ni pamoja na Biharamulo, Burigi na Kimisi (BBK) pamoja...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu nimeona taarifa kutoka kwa page inayodaiwa kuwa rasmi ya serikali ya Tanzania wakipost taarifa hii pichani. Fikra yangu ni kwamba kosa hilo la kimaandishi linafikirisha. Sisemi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa wanawake huwa mnafanya nini mkigundua mwanaume ni mzee wa michepuko tena ya kubagain mume kama huyo unamfanya nini[emoji1312]
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Nisaidieni wapi nitapata ITV channel
0 Reactions
3 Replies
853 Views
Kama upo mbeya mjini nicheki pm wkend uje tukipige FIFA 19..... Karibuni
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Konga ya Makete mkoani Njombe wamemtaja mwananchi wa kijiji cha Ivilikinge wilayani hapo wakimtuhumu kusambaza VVU kwa makusudi Mwenyekiti wa mtandao wa watu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
jamani samahani naomba msaada kwa mtu alieagiza gari real motors japani hivi karibuni naomna kupata msaada wa swift code na account zao mana inaonekana wamebadili bank account sasa naogopakuibiwa
0 Reactions
0 Replies
854 Views
tv
jmn ninatumia receiver ya mediaCom sas local chanel zimefutik mweny frequency naomb msaada au msaada wwt niwez kurudisha chanel
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Watangulizi Wake Walionunua Ndege Ndogo Ya Rais Hawakua Na Akili? Watangulizi Wake Walikua Hawaendi Na Watu Wengine Huko Nje? Mbona Ile Ndege Ndogo Ya Rais Ilikua Inawatosha? Au Huyu Ndie Wa...
7 Reactions
160 Replies
18K Views
Hellow JF's members. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu-wazima wa afya, pia nipende kuwatakia HAPPY NEW YEAR 2016. Dhumuni la kuja kwenu, ni kuomba kwa yule mwenye access ya mawasiliano na Mr Ruge...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom