Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapa kazi tu. Tunafadhili ujenzi wa shule za Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sisiemu oyeeee....Magufuli oyeeee. Tumeanza kuwa dona kantili..
16 Reactions
52 Replies
5K Views
Maana siku ya leo haiwezekani kudownload picha wala video
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna uwezekano wa kupokea pesa kutoka qatar kupitia mitandao ya hapa nchini yaan m pesa au tigo pesa
0 Reactions
0 Replies
667 Views
1. Blogging..... Kuna watu duniani wanatengeneza million 200...to billions kwa kuandika tu kwenye mtandao..... Na uwezi jua till ujaribu.... ebu changamkia fursa.... Ukute upo ofisini unajaza...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Na ole wako wakuombe ID yako ya huo Mtandao Ulioasisiwa na Mhaya pamoja na Mchagga halafu wakute kumbe ndiyo Wewe ulikuwa unachangia kwa Kumponda sana Bosi wao Kitaifa na Yule wa Kimkoa ndipo...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau Naomba mwenye idea, Elimu na upataikanaji wa huduma za ujenzi wa nyumba kwa Dar es salaam kwa kutumia technology niliyoiweka katika hiyo heading anijuze tafadhali, Pia Faida na Hasara zake...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Anaswa na polisi akiwa na meno manne ya Tembo nyumbani kwake. Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Hassan Selemani mkazi wa kijiji cha Liwanga wilayani Tunduru mkoani Ruvuma baada ya...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Asalam. Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae. Nimejaribu kujikaza kwa muda...
7 Reactions
103 Replies
9K Views
Jana mchana ninepigiwa simu na ndgu yangu ambae amemaliza kidato Cha sita hivi majuzi, amerudi kijijini kwa Wazazi wake baada ya kumaliza masomo yake ya advance. Alinipigia kuniomba nimsaidie Tsh...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Mheshimiwa afande Sirro ulisema itachukua siku 3 kitu kinawekwa peupeeeee, uliyasema hayo tarehe 11 leo imepita 2 weeks au ndo yale mambo ya kuwafanya wabongo wajinga???? Wafanyabiashara...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sector ya biashara sasa inaenda kufa kabisa kama ilivyo kwa sector ya kilimo Hakuna wateja wala hakuna nini Jiji nao macho yao yote kwenye kibanda changu bado TRA bado wazee wa usafi elf kumi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 30 wamenusurika kifo baada ya basi la Bitale lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Kilwa kupinduka eneo la Dundani, Mkuranga mkoani Pwani. Chanzo cha ajali hiyo ni gari la mizigo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini wakuu, niko maeneo ya Ubungo na ningependa kwenda ofisi tajwa hapo juu Anayejua ziliko tafadhali naomba anipe muongozo. Asanteni!!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Na Ahmed Rajab TUNDU Lissu, kama wasemavyo baadhi, ni mfano wa kuigwa. Kadri siku zinavyoendelea ndivyo anavyozidi kuwa alama ya upinzani dhidi ya utawala wa Rais John Magufuli. Amekuwa alama ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahakama ya wilaya ya Misungwi jijini Mwanza imemuhukumu baba mmoja kwenda jela kutokana na kukutwa na hatia ya kumzalisha mtoto wake wa kumzaa. Mzazi huyo, Jacob Shabani (30) mkazi wa Kijiji...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Muhubiri 9:11. Nikarudi na kuona chini ya jua,yakwamba si wenye mbio washindao ktk michezo,Wala si walio hodari washindao vitani,Wala si wenye hekima wapatao chakula,Wala si watu wa ufahamu...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Mfanyakazi wa ndani, Christina Claudia (23) anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja wilayani Kilosa na kukimbia naye mkoani Tabora. Akizungumza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfanyabiashara na Mmiliki wa Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kutoka kampuni ya KIMOTCO ,Benedict Mberesero,amewalalamikia askari wa usalama barabarani katika Jiji la Arusha,kwa vitendo vya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada; basi gani zuri super luxury linatoka maeneo haya. 1. Tabora to Arusha 2. Tabora to Mbeya
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za muda naomba ushauri kuna nyumba nataka nihamie pamoja aijakamilika na ujenzi,sasa hili sick la choo linauchafu wa cement umeng'ang'ania nimesugua na brash lakin bado ni njia ipi nitumie...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Back
Top Bottom