Mnaoweka matuta rough Road Acheni Rohombaya

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
556
1,270
Habari za jioni wanajamii Usiku huu wakati natoka katika majukumu yangu ya kila siku. nimekatiza katika moja ya barabara mitaa ya Mbagala rufu barabara ya kuelekea stendi nikiwa na Toyota Alphard aisee nimepita kwenye
tuta mpaka nikajiuliza mnaoweka matuta mna akili timamu kweli? hivi kweli unaweka tuta urefu wa karibu mita moja ili iweje Acheni roho mbaya.
 
Tatizo wanaweka matuta bila kibao cha kuonesha kuna tuta mbele, kwa mgeni inakua ngumu sana kuliona unaweza kupata ajali bila kutarajia.
 
hatuna jinsi mkuu mwenye toyota alphard. bodaboda ndio wanatufanya tuweke hayo matuta sasa ya wao kuendesha rough.
 
Habari za jioni wanajamii Usiku huu wakati natoka katika majukumu yangu ya kila siku. nimekatiza katika moja ya barabara mitaa ya Mbagala rufu barabara ya kuelekea stendi nikiwa na Toyota Alphard aisee nimepita kwenye
tuta mpaka nikajiuliza mnaoweka matuta mna akili timamu kweli? hivi kweli unaweka tuta urefu wa karibu mita moja ili iweje Acheni roho mbaya.
Mkuu Mita moja itakuwa umepita kiwanja cha mtu ameanza kujenga fence sio tuta.
 
Habari za jioni wanajamii Usiku huu wakati natoka katika majukumu yangu ya kila siku. nimekatiza katika moja ya barabara mitaa ya Mbagala rufu barabara ya kuelekea stendi nikiwa na Toyota Alphard aisee nimepita kwenye
tuta mpaka nikajiuliza mnaoweka matuta mna akili timamu kweli? hivi kweli unaweka tuta urefu wa karibu mita moja ili iweje Acheni roho mbaya.
Hawana magari hao . wanaweka tuta kubwa mbuzi haruki
 
Sio roho mbaya, tatizo lenu wenye magari na boda boda ni mbio mbio bila kuzingatia watumiaji wengine wa barabara
 
fungieni watoto wenu ndani msiache wazurule
Na nyie endesheni magari /bodaboda zenu kama watu walio na utimamu kichwani maana kuna kesi nyingine ambapo vyombo vyenu huwa vinaacha barabara na kuingia kwenye nyumba za watu.
 
Hizo ni ajali tu,hazina kinga
 
Back
Top Bottom