Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkazi wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Rafael Martine (34) anashikililiwa na Jeshi la polisi kwa Tuhuma ya kumuua Shija Mahoiga (45) mkazi wa kijiji cha Igaga kwa kutumia kipande cha...
5 Reactions
130 Replies
14K Views
Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Tafadhari kwa walio tayari kwenda wawasiliane na Millard Ayo awape utaratibu wa kufika huko. Unaambiwa huko ukifika tu unayaona maisha bora kwa vitendo na SI kuyasikia kwa mdomo ama kuyaona kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kipindi kifupi tu cha uwepo wa Jeshi shupavu na hodari kabisa barani Africa {Tanzania Police Force} katika rank ya majeshi ya Police, limeanza kutema cheche zake kwa wahalifu waliohusika na...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Nichukue nafasi hii kuipongeza Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. JPM na Benki Kuu ya Tanzania kwa kuimarika kwa shillingi ya Tanzania. Sasa yaelekea mwezi wa sita shillingi ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jana nilipokea simu toka kwa Milard Ayo wa Clouds Media akinitaarifu nimekua mshindi katika moja ya michezo ya kubahatisha....TZS bilioni 1. Akaniuliza swali moja “utaifanyia nini hii pesa??”...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Kampuni hiyo ya uchimbaji wa madini imehitaji mazungumzo hayo ili kuangalia uwezekano wa kupata suluhu ya mgogoro wa kodi uliopo Pendekezo hili la mazungumzo limekuja baada ya Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilijifunzia kubet na hawa jamaa wa Premier bet. Nakumbuka kipindi hicho sina ajira niko kitaa sina hata pesa ya kula. Basi nikawa nimeomba msaada kwa jamaa. Akanitumia sh elfu kumi na moja kwenye...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Ni Tanzania pekee ambapo abiria wakizidi mwenye chombo cha usafiri inabidi aahirishe safari. Nimemsikia mkuu wa ATCL anasema abiria ni wengi sana ndio maana baadhi ya safari hua zinaahirishwa au...
27 Reactions
36 Replies
4K Views
*[emoji257]KING'ORA KIMELIA[emoji257]* Wayahudi walipewa dalili zote za kuvamiwa lakini walipuuza, miaka saba kichaa alipita mitaani kuwaonya na kuwatahadharisha lakini mwishowe walimzoa na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KANUNA 20 ZA KUENDESHA MAGARI YA KUTEMBELEA 1. Ukiwa highway habari za kukatikiwa mafuta utoke kukimbizana na vidumu sheli au kuomba kunyonyewa ,hatutaki ,unatuzingua mkuu .....kwani gauge...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Hakika Uongozi wa Tanesco kigamboni haufai.Nasema haufai kwa sababu hauendani na kasi ya mahitaji ya Wateja wake.Uongozi wa Tanesco Kigamboni unafanya kazi zake Kisiasa zaidi kuliko Kitalaamu...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu, Najua wengi hatuna muda wa kufatilia nini watoto wanaangalia na hata muda mchache tunaopata ni vigumu kujua kwa mapana experience wanazopata watoto kupitia cartoons wanazoangalia. Naomba...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Wadau tulimlaumu Sana JK, Ila Huyu Ndio kaamua kabisa!
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza kupata faida ya Shilingi za Kenya Bilioni 7.3 sawa na Tsh Bilioni 146 kwa mwaka wa fedha unaoishia June 31 2017 taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Boeing has created a $100 million fund to cover the needs of family and community members affected by two crashes involving the company’s 737 Max aircraft. Boeing said the fund announced...
1 Reactions
2 Replies
774 Views
Yaani Timu imefanya vibaya kabisa tena kwa Aibu huko AFCON 2019 Misri kiasi cha hata Kushindwa kupata Alama ( Point ) halafu leo kuna Maduduna fulani pamoja na Waandishi wa Habari Wanafiki...
1 Reactions
5 Replies
851 Views
Back
Top Bottom