CANADA:NITAFIKAJE?

CANADA:NITAFIKAJE?

Mad Jaluo

Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
89
Reaction score
159
Habari wakuu.Heshima yenu wote mlionizidi maarifa na umri.Mimi ni mwanamke wa miaka 29.Nimeolewa na kujaaliwa watoto wawili.Nimekua nikijaribu kutoka nje ya nchi kwenda ughaibuni (USA) Ila nimenyimwa visa.mwisho wangu kusafiri ni South Africa.Nimeamua kuachana na USA na sasa nahitaji kuhamia Canada.Nifanyeje nipate work visa?natanguliza shukrani.
 

Attachments

  • FB_IMG_15619168581161984.jpg
    FB_IMG_15619168581161984.jpg
    21.1 KB · Views: 41
Mkuu hiyo attachment ina uhusiano gani bandiko lako?.
 
Unaishi RSA? Kwanini usiombee VISA huko kama unavielelezo vyote?
 
Nitafute nikuunganishe na mtu.kuna mtu naamini atakusaidia.
 
Dooo imekuwa wivu tena?? Kwani umeona mm sina kazi?? Hao waliokupa kazi ndio wakupe invitation latter ile i support
Kwa hiyo nikae kusubiri wanisaidie au?acha wivu na roho ya kwanini uende mbinguni.
 
Back
Top Bottom