WhatApp Kuna shida gani muda huu

WhatApp Kuna shida gani muda huu

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,195
Habari wakuu

Ni muda kama masaa yamekata, naona network ya WhatsApp inasumbua wakati mitandao mingine inafunguka vzr,

Hasa nikitaka kupakua/kutuma picha au video , je ni kwangu tu au pote.

N:B natumia 4G mtandao umetulia Barabara
 
Tunafanya marekebisho... Kidogo tunaomba muwe wavumilivu....
 
Mimi mu irani nimeamua kudukua viapplication vyenu uchwaraaa mnavyo jisifu navyoo na hapa baadooo ....
 
Dah nikajua kwangu mimi kumbe tupo wengi yani imenibidi niformat simu yangu dar nimeumia nimefuta mafaili yangu ya msingi

Back
Top Bottom