Ivi serikali ipo wapi katika kulitazama hili

Ivi serikali ipo wapi katika kulitazama hili

Future811

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
11
Reaction score
14
Ivi hizi halmashauri na serikali za mitaa lakini pia taasisi mbalimbali zikiwemo za mazingira na afya zipo wapi katika kuangalia swala hili la masoko kufanyika kwenye mitaa ya wananchi. Hii hali ishakuwa kero sana hapa buguruni. Mtaa unafurika matenga masaa 24 hamuoni kama mna hatarisha maisha ya wananchi endapo tatizo lolote litakapo tokea? Ebu hizi halmashauri zinazokusanya mapato ziangalie hili swala zisifikirie kukusanya tu mapato bali na kujali maisha ya wananchi wake.
20190703_195725.jpeg
 
Halmashauri ya jiji ipo kwa chadema
Ivi hizi halmashauri na serikali za mitaa lakini pia taasisi mbalimbali zikiwemo za mazingira na afya zipo wapi katika kuangalia swala hili la masoko kufanyika kwenye mitaa ya wananchi. Hii hali ishakuwa kero sana hapa buguruni. Mtaa unafurika matenga masaa 24 hamuoni kama mna hatarisha maisha ya wananchi endapo tatizo lolote litakapo tokea? Ebu hizi halmashauri zinazokusanya mapato ziangalie hili swala zisifikirie kukusanya tu mapato bali na kujali maisha ya wananchi wake.View attachment 1145824
 
Back
Top Bottom