Juzi nimekutana nae pale mnazi mmojaWanajamvi, hivi zile hekaheka za Dr Luis Shika zimeishia wapi na yeye yuwapi? Au ndo yale mambo ya kuleta ili kutusaulisha matukio makubwa kama ya escrow na pesa za kwenye viroba???!
Juzi nimekutana nae pale mnazi mmoja
Yupo misiri kuishangilia CiCieM stars zidi ya senego.Yule mwingine aliyebaki juu kileleni aliishia wapi ?
Amesajili na Yanga kupitia Mfadhili wao mpya Aziz,,Shika ni kiungo mkata umeme.Bilionea Shika mara ya mwisho alikuwa Songea kutafuta vipaji vya bongo fleva awapeleke studio
Huyu nipo nae hapa Alexandria tunasubiri game MkuuYule mwingine aliyebaki juu kileleni aliishia wapi ?
Hahahahaha sitaki fuatwa na warusiUnamtakia nini mzee wangu nipo nae hapa. Nitumie namba yako uongee nae
[emoji1787][emoji1787]Yupo misiri kuishangilia CiCieM stars zidi ya senego.
Chiiii[emoji16]Huyu nipo nae hapa Alexandria tunasubiri game Mkuu View attachment 1135931
Juzi nimekutana naye posta na bahasha zake mkononiWanajamvi, hivi zile hekaheka za Dr Luis Shika zimeishia wapi na yeye yuwapi? Au ndo yale mambo ya kuleta ili kutusaulisha matukio makubwa kama ya escrow na pesa za kwenye viroba???!
Bora muiwakilishe nchiHuyu nipo nae hapa Alexandria tunasubiri game Mkuu View attachment 1135931