Songa mbele simama imara

Songa mbele simama imara

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
"Unaweza kumshusha mtu yeyote lakini sio anaemtegemea Mungu. Ule muda unadhani umemuweza ndio muda ambao anainuliwa. Waliomtumbukiza Yusufu shimoni, walidhani wamemuweza lakini ilikua ndio njia ya kuelekea kuwa waziri mkuu. Cha kufurahisha ni kwamba wale wale waliomuhujumu walikuja kumpigia magoti kwa aibu na kwa machozi!Mja wa Mwenyezi Mungu huwa hazuiliki, no matter what, no matter where atang'aa tu. Kama kuna mahali umeonewa just relax, muda unakuja watajua wewe ni nani."

Habari za Asubuhi.
 
Maneno ya faraja sana haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom