Ujenzi wa Chato stadium

Ujenzi wa Chato stadium

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,274
Reaction score
1,672
Hivi karibuni tumesikia toka kwa waziri wa nishati, ambaye pia ni mbunge wa chato, kuwa serikali imedhamiria kujenga uwanja mkubwa wa mpira ambao utakuwa wa pili baada ya ule wa dar es salaam. Nimekua na maswali mengi pasi na majibu. Na kama kweli serikali imedhamiria kufanya hivyo naomba ieleweke kuwa huo ni ufujaji wa rasilimali za serikali na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Back
Top Bottom