usy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 209
- 165
Sitaamini tena aliyetekwa wala wale wanaosemekana kua ndo wanaoteka...
hebu tulia kidgo halafu jiulize maswali haya.
1> Kwanin watu wanatekwa halafu wakipatikana hawasemi chochote kuhusu huko walipokua ? hapa napata ukakasi na kushindwa kuamini kwamba wanatekwa, inawezekana wanajiteka either kwa kujitafutia umaarufu, kumtafutia mtu mwingne umaarufu hasa wa kisiasa au kumchafua mtu mwingine.
2> Kuna siri gani kati ya watekaji na watekwaji?
mbona kundi linalosemakana linateka halitoi maelezo yoyote kujitetea au kundi linalotekwa halitoi maelezo yoyote kututhibitishia kwamba limetekwa na watekaji walikua na lenho gani.
3> Kwanini vyombo vya ulinzi vipo kimya sana?
Watu wanatekwa na kupatikana katika mazingira ambayo yanafikirisha, wanatoa maelezo dhaifu ( Rejea hawa wawili wa mwisho). maelezo yao yanaacha maswali na tusijue ukwel uko wapi, mtu anatekwa anarud kama alitoka kula bata halafu neno atakalo lionhea ni kwamba "Namshukuru IGP, Polish na wananchi wote kwa ujumla " kamaliza. Naomba saiv akitekwa mwingne awe mfano ili hii ishu iishe.
Awe mfano either atuambie kinagaubaga alikua wapi au vyombo vyetu vya ulinzi vimbane na kutuambia ukwel wote uliopo nyuma ya huu ujinga wa kutekana.