Habari za leo Wana jamii, mimi nimeanza kulima maembe ya kisasa huko mkoa wa Tanga njia ya Pangani sehemu ya Marungu, sasa nilitaka kujua kama kuna mteja kwa mikoa ya karibu na sehemu husika maana...
TANDALE VS USHUANI
Kuna jamaa mmoja huku Tandale alisikia tu kwamba kuna jamaa anamchukulia mke wake, yaani kila anaposepa asubuhi saa tisa alfajiri kwenda kuchukua daladala, mwanamke anaingiza...
Simba ni miongoni mwa wanyama ambao ni jamii ya paka, ukiondolea mbali kwamba ndiye mnyama mkubwa anayewinda katika jamii yao hiyo, lakini pia ni wanyama ambao hupenda kuishi katika makundi...
Big up sana kwenye sekta ya usafiri wa majini kwa ukanda wa baharini umeonesha kupaweza sana.
Japo pic zingine ni za 3D lakini ndio muonekano utakavyokua.
Source: yusuph bakhresa Instagram page
Kuna mambo ya kufurahisha kama sio kusikitisha...eti mtu anatoka uko aliko ajui ili wala lile, ajui wapi mmeanza na wapi mmemaliza anaingia tu kwenye mambo yasiomuhusu......inafurahisha na...
Hili neno nmeshangaa sana kulikuta linajadiliwa kwa umakini kabisa watu wakiwa serious.kuwa wafanyakazi hawa wametolewa kafara.
Hii imani imekuwepo sana kwa watu wanaofanya kazi sehemu za wahindi...
Mara kadhaa maadui wa kibiasha wa ndugu SALIM SAID BAKHARESA walikua wakimtuhumu mfanya biashara huyu Mchamungu kwamba anaupendeleo wa kidini katika uajiri katika Makampuni yake
Ajali iliyotokea...
KISA CHA KWELI.KUNA MTU MMOJA ALIUGUA SANA AKAAMUA KWENDA UINGEREZA KUTIBIWA.HUYO MME ALIKUWA NA MKE NA MKE WAKE ANA WUVU SANA MAANA ALIJUA MME WAKE NAE PIA "HAJA TULIA".BASI MME KAKAA KWENYE HOSP...
Huwa sipendi kunukuu taarifa toka mitandoa, kuzitengenezea uzi na kuweka hapa ila hii kidogo imenifanya nitafakari sana jinsi mfumo wa biashara kubwa kubwa zinavyofanyika duniani, na kwavipi watu...
Meneja wa ubunifu Clouds media ndugu Ciza amesema mtangazaji wao Antonio Nugas atakuwa msemaji rasmi wa maswala ya vivutio vya utalii katika mji wa Chato mkoani Geita
Hayo yamejiri katika kipindi...
Siku moja Arthur Barry aliyekuwa mwizi maarufu wa Vito vya thamani (jewels) aliulizwa na mwandishi wa habari; ni nani ambaye unakumbuka uliwahi kumwibia sana kwenye maisha yako. Arthur Barry...
Wanafunzi waliomaliza la saba mwaka jana walikuwa 943,318 na waliofaulu form six 2019 wako 79,770 hivyo basi watoto wanaomaliza la saba ni chini ya 8% ndio hufaulu form six, kama ni kweli...
Kama kuna vitu huwa tunakosea basi ni pamoja na kutokujua wakati gani sahihi wa nini kifanyike na nini kisifanyike. Kama kuna vitu tunakosea, basi ni kudhani yale unayofanya sirini basi yanafaa...
Hello JF,
Sijui kwa nini naamini mkuu wetu ameamua ku act Childish!, Inavyoonekana baada ya zile projects za mwanzo kupigiwa kelele,kumemfanya mkuu wetu awe REBELLIOUS kama jinsi teenagers...
" Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wakiongozwa na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Fortunatus Muslimu wametembelea eneo la Kizonzo ilipotokea ajali iliyoua watu...
Wanajf, kuanzia kesho nchi yetu inatarajia kupata wageni wataofika Chato moja kwa moja ni pamoja Rais Mu7 , atafuatiwa Rais PK na atafuatia Presida NkZz.
Wote hao watakuja kwa ziara binafsi pamoja...
Nategemea wote mnaanza weekend vema.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa juu ya hii tabia ya kulia kwa sisi binadamu. Kwamba kuna siri gani kubwa ilioambatana na huku kulia? Nawaza kama kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.