Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nauliza tu jamani, ni mikoa ipi hiyo na zipi sababu zinazofanya ikue , kwa kasi zaidi kuliko mikoa mingine?
0 Reactions
33 Replies
5K Views
WENZANGU NAMIMI NI KWELI TUNAKUTANA JAMIIFORUMS BILA KUJUA VITENGO VYA WATU NA WADHIFA WALIO NAO, NA WENGINE WANAINGIA KAMA UWAGENI WASIO NA USAJILI Nimeamua kuwadokeza suala hili kwa kina kuna...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Ni mara ya Nne hii nafika ofisi za NSSF zilizopo Ilala... Hizi Ofisi kiukweli ni aibu kubwa sana. Sielewi Serikali inawezaje kuacha ofisi zikaendeshwa kiswahili namna hii zama hizi na Ushindani...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa mhanga wa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua...
4 Reactions
70 Replies
16K Views
Kuna wale marafiki wako Real sana wanaweza kukutetea hata pale ambapo we hautokuwepo sometimes unaweza ukawa umekosea lakini watahakikisha wanalinda jina lako halafu ndo watakuja kukuchana...
1 Reactions
3 Replies
676 Views
kwa wale wanao endesha magari usiku
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wasalam wanajamvi. Daslam hakuishi vihoja, nimekuja Daslam, na asubuhi hii niko kwenye mwendokasi kutoka Posta kwenda Ubungo. Kuna kabinti katoto kabisaa ambacho nilikua nakaangalia tangu kanakata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Palikuwa na mchoraji katika mji mmoja. Mchoraji huyo alikuwa na umri wa utu uzima. Alikuwa akichora picha nzuri na akiziuza kwa bei kubwa sana. Siku moja wakamjia maskini na mafukara wa mji...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadada wa siku hivi ni kwa nini mnapenda Ku do na wanaume za watu? Yaani ukimtongoza sholi utasikia anakuuliza kwani wewe umeoa?. Ukisema ndio, utasikia sholi anasema safi sana , afadhali nimepata...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani nani mwenye kujua lini tutaanza kutumia jengo jipya la uwanja wa ndege, Terminal III.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara kadhaa imekuwa ni kawaida katika mikusanyo hasa kwenye vituo vya mabasi, masokoni, kwenye minada/magulio, kwenye viwanja vya michezo nakadhalika, kukuta watu hasa wanaume, japo hata wanawake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania imejaliwa kwa kiasi kikubwa kuwa na hazina ya Wanyama pori wa aina mbalimbali. Moja ya manufaa kubwa ya wanyapori ni kutupatia fedha zinazotokana na utalii na fedha zinazopatikana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahani kwa nitakao wakwaza, najaribu tuu kuwaza kwa sauti. Hivi nyumbani kwao mkapa ni wapi ? Kwao alikozaliwa na wazazi wake pia hata shule ile alisoma. Anayefahamu naomba anisaidie niielewe.
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Kuna kipindi nilikuwa na exhange na rafiki wa mtandaoni anaishi USA. Nilimuuliza, kwa nini huko USA watu wanapenda kumiliki bunduki! Alinipa jibu fupi sana "Self defence" na akanzisha mada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshangaa kuona watu wa kigoma Wanaishangilia ccm. Kwa kweli huu mkoa umenishangaza sana.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wa kwanza kabisa anaeboa kumsikiliza ni huyu FATUMA KARUME mpeni ushauri asiwe anaongea kwenye media; kwanza hajui hata kupangilia maneno; awaachie watu kama kina ZITTO, LISSU n.k wenye Uwezo...
10 Reactions
113 Replies
13K Views
July 11, 2019 Bonn, Germany Waziri Harrison Mwakyembe mwenye dhamana ya kusimamia habari Tanzania katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani DW, ametofautiana na kauli ya waziri...
14 Reactions
63 Replies
10K Views
Nilikua katika pita pita huko mtadaoni nikakumbuka ile video inayoonyesha Askofu Gwajima akifufua mtu ambae amekutwa kafa. Sitaki kujadili imani za watu kwani najua tutasogezwa deep sana ila...
14 Reactions
83 Replies
13K Views
Dah hongereni sana wana chato nyie ni wana maendeleo haswa nyie ni watu wa kazi kwelikweli na mwana chato namba moja kapafanya pamekuwa pa kisasa sana nimepita jana sikuamini Msisikilize maneno...
5 Reactions
102 Replies
18K Views
Mfumo huu ni mzuri sana kwa vile unaruhusu wamiliki kukagua na kujua kama magari yao yanadaiwa kwa makosa ya barabarani. Pamoja na uzuri wake, unaweza kuwa na shida pia. Hapa mimi nimeona shida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom