Wakuu natanguliza salamu , na baada ya salamu najikita moja kwa moja kwenye mada .
Nilikuwa kimya kwenye Kauli za uchochezi zilizoambata na viashiria vya kupanga utekaji na mauaji kutoka kwa...
Kila mtu huwa anapitia nyakati tofauti katika maisha yake anapoelekea kutimiza NDOTO zake alizochagua kuziishi, pamoja na utofauti huu Kuna nyakati ambazo ni lazima kila mmoja wetu azipitie...
Asubuhi kabisa leo wakati ndio kwanza nafungua kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,
Nimetiwa mkosi na hawa maofisa wanaopita kwa kila mwenye fremu au kibanda cha biashara wanadai 5K...
nadhani kwa wafatiliaji wa masuala ya kisiasa mnaweza nielewa kwa upana zaidi wiki kadhaa iliopita baada ya mh spika ndugai kumuandikia barua mwenyeiti wa tume ya uchaguzi NEC kumtaarifu bunge...
Wananchi watahadharishwa na Mamlaka ya dawa za kulevya kuhusu vitafunwa vya mtaani
Jamii imetakiwa kuwa makini na vitafunwa vinavyouzwa mitaani, ikiwamo keki na kashata kwakuwa kumeibuka...
Huyu waziri mkavu kabisa huku anaangalia camera bila aibu hata kidogo. Bila kupepesa macho au kuona soni. Anafokea TFF eti wajiuzulu huku yeye haoni kama ni sehemu ya Tatizo?
Huu ujasiri wa...
IKIWA imepita miezi miwili tangu Serikali kupitia Bodi ya Pamba Tanzania (TCB) itangaze kuanza kwa msimu wa ununuzi wa zao hilo 2018/19, imeibuka sintofahamu baada ya wanunuzi kushindwa kuanza...
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
UPDATE:
Jina lake...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi wa bajaji maeneo ya Ukonga. Watuhumiwa hao ni Said Salum (27), Amo Kefas (30), Said Ahmad (38), Mohamed Musa...
Habari watu wa Mungu.
Karubuni kwenye forum hii inayofanyika mtwara trh 12-13 Julai 2019.
Venue; BOT Mtwara.
Wageni wa kiserikali
Wakuu wa mikoa Lindi,Mtwara,Ruvuma na pwani.
Mkurugenzi TIC...
Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela nchini Kenya na mahakama kuu ya nchi hiyo kwa kuhusika na shambulio la kigaidi kwenye chuo kikuu cha Garisa mwaka
======...
Heri ya uzima ndug zang..
Kwa jina naitwa SAUC (age24), nina elimu ya chuo ngazi ya cheti nimesomea madini{certificate in mining enginering}& safty, sikufanikiwa kuendelea na elimu yng baada ya...
Povu langu linawahusu nyie wazazi,Ukiwa kwenye sehemu kama sabasaba ni kawaida kuwaona wazazi wakiwa na watoto wao wakiwa wamewavalisha vivazi vya ajabu ajabu watoto wao hasa watoto wa...
Mnamo tarehe 10 Julai 2019, gari la kubebea pesa lilifunguka mlango na kumwaga pesa barabarani huko Atlanta .
Watu walionekana wakisimamisha magari yao na kuokota pesa hizo barabarani.
Polisi...
Habari wana Jf? Nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu sasa wahamiaji haramu kutoka Afrika Kaskazini hasa Libya wakizama katika bahari hii katika harakati za kuelekea Ulaya, mara nyingi taarifa...
Heshima yenu wakuu! Nimeshindwa kuelewa kiwango cha weledi wanaotumia baadhi ya hawa watendaji wa serikali ya tano ya awamu yenye falsafa tasa ya 'hapa kazi tu' ya mheshimiwa Magufuli, rais wa...
Habari mheshimiwa na mdogo wangu katika utaifa, Mimi ni raia wa nchi yangu pendwa Tanzania na mkazi na mzawa wa jiji la Dar es salaam. Yapo mambo ambayo kimsingi hayavumiliki na yana kwaza Sana...
Hali ni mbaya jamani member mwenzenu naomba msaada wenu
Elimu yangu ni kidato cha nne
Sina muelekeo wa maisha yani asubuhi naamka kama mbuzi,natamani sana navyoona watu wanaamka wanaelekea kwenye...
Kwa wajuzi wa mambo, nimesoma machapisho mengi likini bado sijapata kujua hasa kiundani kwanini rastafarian wanaitukuza Ethiopia na wengine wakivuka zaidi na kudai hata bustani ya Eden ilikuwepo...
Habari JF isee Hawa mods walichonifanya ni unyama mtupu kwakweli yani walipiga kufuli kwa kauli hii (we Musiba tuliza makende chini) na huyo aliyekuwa anatoa kauli chafu wakamwacha wiki mbili sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.